MATANGAZ0 YETU 



Breaking

Tuesday, 4 July 2017

ARSENAL KUVUNJA AKAUNTI KWA AJILI YA MSHAMBULIAJI ALEXANDRE LACAZETE

Mshambuliaji wa Lyon Alexandre Lacazette, 26, anafanya vipimo vya afya Arsenal kabla ya kukamilisha usajili wake utakaovunja rekodi ya Emirates wa takriban pauni milioni 45. Dau la awali la Arsenal lilikataliwa, lakini mazungumzo yaliendelea. Ada yake kamili ambayo huenda ikafikia pauni milioni 52, itapita ada ya pauni milioni 42.4 iliyotolewa kumsajili Mesut Ozil kutoka Real Madrid mwaka 2013. Lacazette alipachika mabao 28 msimu uliopita katika Ligi Kuu ya Ufaransa.
JE atakuja kufanya kweli pale England kama ufaransa


No comments:

Post a Comment