MATANGAZ0 YETU 



Breaking

Sunday, 16 July 2017

YAHUSU KUOMBA RADHI SANA KWA USUMBUFU ULIOJITOKEZA MNAMO TAREHE 15JULY 2017

ALFA BLOG
Tunaomba radhi kubwa kwa usumbufu mkubwa uliojitokeza jana kwenye taarifa zetu za jana hasa kwa upande wa kuangalia matokeo ya kidato cha sita hii ni kutokana na mda huo watu wengi kutumia link hyo na kufanya watu wangu kutopata kile mnapenda kwa wakati lakini kwa sasa kila kitu kipo vizuri hasa baada ya kupata link maridadi kabsa ya yenye kasi kubwa kwa watu kwa pamoja hivo tembelea blog yangu
hht://alfachengula.blogspot.com
kwa kila taarifa mbalimbali
                    IMETOLEWA NA
           ALFALES CHENGULA
                          na
             SHAFII NAD (Ofisi ya habari ya  ALFA BLOG)
           On 16 july 2017

No comments:

Post a Comment