wanafunzi hao kutoka vyuo vilivyopo mkoa wa Dar es salaam wamefika katika ofisi za bodi ya mikopo ya elimu ya juu Heslb ili kupewa majibu ya sababu za wao kukosa mikopo ingali wanasifa za kupata mikopo hiyo hata hivo mkuu wa mawasiliano wa bodi ya mikopo ndugu OMEGA NGOLE amewataka wanafunzi kuwa wavulimivu kwani wanaendelea na uchambuzi majina yao kwa awamu nyingine ambapo mwishoni mwa wiki hii wanatajia kutoa wamu nyingine na pia kutanagaza hatua ya rufaa kama itakavyoelekezwa na bodi hiyo ya mikopo
Tuesday, 7 November 2017
WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU WAMEFIKA KWENYE OFISI ZA MIKOPO ELIMU YA JUU
Tags
# heslb
About CHENGULA
ALfales ni kijana aliyesomea fani ya uhandisi wa magari na mitambo ambaye amejiandaa vyema kuleta habari za kijamii na pia habari za magari kama vyombo vinavyotumika na wa Tanzania na Dunia nzima, kwa mambo yoyote ya magari na mitambo wasiliana nami kwa kupitia e-mail ya alfachengula94@gmail.com au namba ya simu 0754220454.
heslb
Labels:
heslb
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment