Dear Student (Ndugu Mwanafunzi),
Welcome to our appeal window for 2018/2019 academic year. We strongly advise you to read and follow below-provided instructions to avoid submission of incomplete or incorrect appeal.
(Karibu kwenye dirisha la kuwasilisha rufaa. Tunakushauri usome kwa makini na kuzingatia maelekezo yafuatayo ili maombi yako yawe kamilifu.)
(Karibu kwenye dirisha la kuwasilisha rufaa. Tunakushauri usome kwa makini na kuzingatia maelekezo yafuatayo ili maombi yako yawe kamilifu.)
GENERAL INSTRUCTIONS TO STUDENTS (MAELEKEZO YA JUMLA KWA WANAFUNZI)
- This window will be open for five days, from Wednesday, November 21st, 2018 through Sunday, November 25th, 2018 when the window will automatically close;
(Dirisha hili litakua wazi kwa siku tano, kuanzia Jumatatno, Novemba 21, 2018 hadi Jumapili, Novemba 25th, 2018 ambapo mfumo huu utajifunga;) - All students who are not satisfied with loan allocations they have received plus those who have not been allocated are advised to apply;
(Wanafunzi wanaoruhusiwa kuwasilisha rufaa zao ni wale ambao hawajaridhika na kiwango cha mkopo walichopata au ambao hadi sasa hawajapangiwa mkopo;) - All appeals including necessary attachments must be done through online window;
(Maombi yote na viambatisho vyote vipandishwe kwenye mtandao;) - In order to help us process your application better, we will request you to respond to some questions.
(Ili kufanyia kazi ombi lako kwa ufanisi zaidi, tutakuuliza maswali na kukuomba uyajibu.)
SPECIFIC INSTRUCTIONS FOR STUDENTS (MAELEZO MAHSUSI KWA WANAFUNZI)
- Did you apply for loan for 2018/19 academic year?
(Uliomba mkopo kwa mwaka wa masomo 2018/2019?) - If yes, insert your Form Four Index number and then password to login.
(Kama Ndiyo, weka namba yako ya mtihani wa kidato cha nne uliyoombea mkopo na neno la siri ulilotumia wakati unaomba mkopo.)
No comments:
Post a Comment