MATANGAZ0 YETU 



Breaking

Friday, 2 November 2018

BREAKING NEWS: MAJERUHI TISA, AJARI YA TRENI DAR

Dar es salaam, Treni ya abiria inayofanya kazi ya kubeba abiria jijini humo kutoka Stesheni na Pugu leo Ijumaa ya tarehe 2, 2018 imepata ajari baada ya mabehewa yake mawili kuanguka  eneo la Karakata kwenye wilaya ya Ilala jijini Dar es salaam na kupelekea majeruhi ya watu tisa. Taarifa za ajari  hiyo zimethibitishwa na kamanda wa reli. 

Taarifa zaidi tutawasogezea punde.

No comments:

Post a Comment