MATANGAZ0 YETU 



Breaking

Thursday, 1 November 2018

BREAKING NEWS: MWIGIZAJI WEMA SEPETU AFIKISHWA MAHAKAMANI KISUTU.

Miss Tanzania 2006  na mwigizaji wa Bongo Movie Wema Sepetu, leo alhamisi asubuhi ya tarehe 1 Novemba 2018 amefikishwa Mahakama ya hakimu mkazi Kisutu.

Wema Sepetu amefikishwa mahakamani hapo majira ya saa nne asubuhi na kupelekwa katika chumba cha mahabusu, Wema alifikishwa mahakamani hapo akiwa chini ya ulinzi mkali wa polisi huku akiwa amejitanda mtandio na kuvalia miwani mikubwa usomi. Taarifa zaidi kuhusiana na kufikishwa mahakamani bado hazijafahamika.

No comments:

Post a Comment