MATANGAZ0 YETU 



Breaking

Thursday, 23 February 2017

MTOTO WA MAJABU MIAKA MINNE ANAENDESHA GARI BALAA

Ni kawaida kwa Watoto wa kiume kupenda kuendesha magari wakiwa na udogo wao huohuo na ndio maana wengi huwa wanatumia muda wao mwingi kwenye magari ya kuchezea ambayo hununuliwa na Wazazi wao.
Huko Huangguang China kuna Mtoto mwenye umri wa miaka 4 tu ambaye kafanya kweli, anaitwa Chen Junyu ambapo wazazi wake wamempa support ya kutosha kumwezesha kuendesha Greda.
Junyu ni shabiki mkubwa wa Wachimbaji na amekuwa akichezea midoli ya aina ya kijiko muda mwingi akiwa nyumbani, tazama kwenye picha na video hapa chini.
   
Video yake ndio hii hapa chini

No comments:

Post a Comment