MATANGAZ0 YETU 



Breaking

Wednesday, 24 October 2018

TAZAMA WIZI MPYA ULIOINGIA MJINI 2018

Hizi ni picha ya kifaa kinachotumiwa kuvunja madirisha na baadhi ya madilisha yaliyovunjwa tayari na wezi kwa kifaa hicho ambacho hutumika maalumu kwaajili ya kukunjia vyuma kwa watengeneza madilisha ya ndondo, mageti N.K
Hiki kifaa hutumika kupindia vyuma wakati wa kutengeneza madirisha ya chuma na mageti.
Tazama inavyotumika kuvunja madirisha.
PICHA ZAIDI CHINI









No comments:

Post a Comment