MATANGAZ0 YETU 



Breaking

Saturday, 3 October 2020

KUITWA KWENYE USAILI WALIOOMBA KUSIMAMIA UCHAGUZI


 Ikiwa imebaki takribani siku 25 kuelekea uchaguzi mkuu wa raisi,wabunge na madiwani michakato mbalimbali ya kuandaa vifaa na watu watakao husika kwenye zoezi hilo imeendelea ikiwemo Jimbo la ubungo na kibamba kuita vijana na wananchi wote waliomba kazi za muda za kusimamia. zoezi la usaili kufanyika kuanzia tarehe tano (5/10/2020 eneo la mbezi luguruni kibamba Kama ilivotolewa na msimamizi wa uchaguzi Jimbo la ubungo na kibamba 


Usiache kuandika email yako ili kupata Kila taarifa ikiwa inapanda hewani 

No comments:

Post a Comment