Rais Dr.John pombe magufuli akiwa na mkewe ,Mama Anna Magufuli wote kwa pamoja,wamewajulia hali wagonjwa walio lazwa katika wodi ya Mwaisela ,katika hospitali ta ya Taita ya muhimbili na kuwashukuru wauguzi na madaktari kwa kuwa na moyo wa kuendelea kunusuru maisha ya wananchi wa Tanzania
Raisi amepata nafasi hiyo baada ya kutoka katika misa takatifu iliyofanyika katika kanisa la mtakatifu Petro, Oysterbay
MIONGONI mwa wagojnwa waliopata nafasi ya kujaliwa hali na mh:Raisi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania ni mzee Fransis Maige "ngosha"ambaye amelazwa katika chumba namba 310

AKIWA KWA MZEE MAIGE
pia aliendelea mpaka chumba namba 312 ambako amelazwa Mtoto Musa ambae siku za karibuni ameugua gojnwa lisilo julikanaa ambae anaishi kwa kula mafuta ya taa ili kupata afadhali ya gonjwa hilo ambalo limeleta gumzo kubwa kwa wananchi
akiwa kwa mtoto MUSA
posted by
alfales chengula
27may 2017 on 12:26 noon
No comments:
Post a Comment